Pole Lyrics — Mimi Mars ft. Nandy

Pole Lyrics — Mimi Mars ft. Nandy

Pole Lyrics song performed by Mimi Mars featuring Nandy, with lyrics also written by them. The song was produced by Charlie Heat.

Pole Lyrics Mimi Mars ft. Nandy

Ehhh, Zombie
Mimi mars chugga queen
The african princess

Hivi ushasikia
Mtu anaogeshwa na mdalasini
Maana sio jina anataja mpaka ubini
Tena akiumwa huwaga hataki quinine
Anachokitaka kuniona mimi

Tena mkaka kwangu ndo kafall oooh
Yani mazima
Kwangu hana shaka
Kwako atakuja tomorrow
Yani kazima

Nikuambie tu me ndo wa kwanza
Kama ukitaka kukiwasha tunakiwasha
Nikuambie tu me ndo wa kwanza
Kama ukitaka kukiwasha tunakiwasha
Nasema pole wacha nikupe pole
Mwenzangu pole wacha nikupe pole

Utanifanya nini kwanza kwa mfano
We utajuaje tupo watano
Hata kwangu mimi yaliyomo yamo

Oooh yaliyomo yamo
Nampa vya pwani vya kizaramo
Tena usijaribu mashindano
Huniwezi hata kimuonekano

Aaaah muonekano
Sina noma sina noma
Nnachotaka kukuambia

Sisi tushapendana
Sina noma sina noma
Nnachotaka kukuambia
Sisi tushapendana

Nikuambie tu me ndo wa kwanza
Kama ukitaka kukiwasha tunakiwasha
Nikuambie tu me ndo wa kwanza
Kama ukitaka kukiwasha tunakiwasha
Nasema pole wacha nikupe pole
Mwenzangu pole wacha nikupe pole

Song Credits

Song Name:Pole
Artist(s):Mimi Mars ft. Nandy
Writer(s):Mimi Mars and Nandy
Album:Pole (Singe)
Produced:Charlie Heat
Released:27 Oct, 2023

Official YouTube Video

Leave a Comment

Comments

No comments yet. Why don’t you start the discussion?

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *